sw_tn/jer/50/16.md

432 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anawaambia maadui wa Babeli namna ya kuvamia.

yeye anayetumia mundu wakati wa mavuno.

"Mundu" ni kifaa kinachotumika wakati wa kuvuna nafaka. Bwana anasema kuwa kupanda na kuvuna hakutakuwepo Babeli.

Kila mtu arudi kwa watu wake ... warudi katika nchi yao

Maneno haya yanasisitiza kuwa wageni waende Babeli.

toka kwenye uoanga wa mtesi

Neno "upanga" linamaanisha adui ambao wataivamia Babeli.