# Taarifa ya jumla: Bwana anawaambia maadui wa Babeli namna ya kuvamia. # yeye anayetumia mundu wakati wa mavuno. "Mundu" ni kifaa kinachotumika wakati wa kuvuna nafaka. Bwana anasema kuwa kupanda na kuvuna hakutakuwepo Babeli. # Kila mtu arudi kwa watu wake ... warudi katika nchi yao Maneno haya yanasisitiza kuwa wageni waende Babeli. # toka kwenye uoanga wa mtesi Neno "upanga" linamaanisha adui ambao wataivamia Babeli.