sw_tn/jer/50/11.md

577 B

Unaruka kama ndama anayekanyaga malisho yake

Hii inawafananisha watu wa Babeli kama ndama mwenye furaha.

Kukanyaga

sauti za jeshi linalokuja

Jirani yako kama farasi mwenye nguvu

Hii inafananisha furaha zao na furaha ambazo jirani zao wanapiga.

Hivyo mama yako ataaibika sana, aliyekuzaa anazalilika

Sentensi hizi zina maana moja zikisisitiza namna ambavyo aibu itakuwa kubwa.

jangwa, nchi kavu

Hii inasisitiza namna ambavyo nchi imekuwa tasa kabisa.

Tapatapa

Tetemeka kwa sababu ya hofu

Sonya

Kufanya sauti kama ya nyoka yenye maana ya kutokukubali.