sw_tn/jer/50/11.md

28 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Unaruka kama ndama anayekanyaga malisho yake
Hii inawafananisha watu wa Babeli kama ndama mwenye furaha.
# Kukanyaga
sauti za jeshi linalokuja
# Jirani yako kama farasi mwenye nguvu
Hii inafananisha furaha zao na furaha ambazo jirani zao wanapiga.
# Hivyo mama yako ataaibika sana, aliyekuzaa anazalilika
Sentensi hizi zina maana moja zikisisitiza namna ambavyo aibu itakuwa kubwa.
# jangwa, nchi kavu
Hii inasisitiza namna ambavyo nchi imekuwa tasa kabisa.
# Tapatapa
Tetemeka kwa sababu ya hofu
# Sonya
Kufanya sauti kama ya nyoka yenye maana ya kutokukubali.