# Unaruka kama ndama anayekanyaga malisho yake Hii inawafananisha watu wa Babeli kama ndama mwenye furaha. # Kukanyaga sauti za jeshi linalokuja # Jirani yako kama farasi mwenye nguvu Hii inafananisha furaha zao na furaha ambazo jirani zao wanapiga. # Hivyo mama yako ataaibika sana, aliyekuzaa anazalilika Sentensi hizi zina maana moja zikisisitiza namna ambavyo aibu itakuwa kubwa. # jangwa, nchi kavu Hii inasisitiza namna ambavyo nchi imekuwa tasa kabisa. # Tapatapa Tetemeka kwa sababu ya hofu # Sonya Kufanya sauti kama ya nyoka yenye maana ya kutokukubali.