# kundi la mwisho
Hii inawafananisha wana wa Israeli na kundi la kondoo waliopotea.
# wakawameza wao
Hii inafananisha kuharibiwa na kuchukua kila kitu sawa na kitendo cha kula.
# wamefanya dhambi
Hawa ni wana wa Israeli.