sw_tn/jer/50/06.md

226 B

kundi la mwisho

Hii inawafananisha wana wa Israeli na kundi la kondoo waliopotea.

wakawameza wao

Hii inafananisha kuharibiwa na kuchukua kila kitu sawa na kitendo cha kula.

wamefanya dhambi

Hawa ni wana wa Israeli.