# kundi la mwisho Hii inawafananisha wana wa Israeli na kundi la kondoo waliopotea. # wakawameza wao Hii inafananisha kuharibiwa na kuchukua kila kitu sawa na kitendo cha kula. # wamefanya dhambi Hawa ni wana wa Israeli.