sw_tn/jer/50/03.md

28 lines
399 B
Markdown

# Simama dhidi yao
Neno "yao" inamaanisha Babeli.
# nchi yake
Neno "yake" inamaanisha Babeli.
# Ishi ndani yake
Neno "yake" inamaanisha Babeli.
# Siku hizo na wakati huo.
"siku hizi" au "wakati huo huo"
# Watauliza
Hawa ni watu wa Israeli au Yuda.
# tujiunge kwa Bwana
Hii lugha ya picha inayoonesha muunganiko wa kiroho kwa Bwana.
# ambayo haitasahauliwa
"ambayo hakuna atakayeisahau"