# Simama dhidi yao Neno "yao" inamaanisha Babeli. # nchi yake Neno "yake" inamaanisha Babeli. # Ishi ndani yake Neno "yake" inamaanisha Babeli. # Siku hizo na wakati huo. "siku hizi" au "wakati huo huo" # Watauliza Hawa ni watu wa Israeli au Yuda. # tujiunge kwa Bwana Hii lugha ya picha inayoonesha muunganiko wa kiroho kwa Bwana. # ambayo haitasahauliwa "ambayo hakuna atakayeisahau"