sw_tn/jer/50/03.md

399 B

Simama dhidi yao

Neno "yao" inamaanisha Babeli.

nchi yake

Neno "yake" inamaanisha Babeli.

Ishi ndani yake

Neno "yake" inamaanisha Babeli.

Siku hizo na wakati huo.

"siku hizi" au "wakati huo huo"

Watauliza

Hawa ni watu wa Israeli au Yuda.

tujiunge kwa Bwana

Hii lugha ya picha inayoonesha muunganiko wa kiroho kwa Bwana.

ambayo haitasahauliwa

"ambayo hakuna atakayeisahau"