sw_tn/jer/50/01.md

20 lines
420 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Tazama ushairi.
# Kwa mkono wa Yeremia
"kwa matendo ya Yeremia"
# wasababishe wasikie ... wasababishe wasikie
Kurudia huku kunasisitiza umuhimu wa amri hiyo.
# Beli imeaibishwa, Merodaki imefadhaishwa. ,Mingu yao zimeaibishwa na sanamu zao zimefashaishwa
Sentensi hizi zinasisitiza kuwa Bwana ameiharibu miungu ya Babeli.
# Beli ... Merodaki
Haya ni majina mawili ya miungu wakuu wa Babeli.