# Taarifa ya jumla: Tazama ushairi. # Kwa mkono wa Yeremia "kwa matendo ya Yeremia" # wasababishe wasikie ... wasababishe wasikie Kurudia huku kunasisitiza umuhimu wa amri hiyo. # Beli imeaibishwa, Merodaki imefadhaishwa. ,Mingu yao zimeaibishwa na sanamu zao zimefashaishwa Sentensi hizi zinasisitiza kuwa Bwana ameiharibu miungu ya Babeli. # Beli ... Merodaki Haya ni majina mawili ya miungu wakuu wa Babeli.