sw_tn/jer/50/01.md

420 B

Taarifa ya jumla:

Tazama ushairi.

Kwa mkono wa Yeremia

"kwa matendo ya Yeremia"

wasababishe wasikie ... wasababishe wasikie

Kurudia huku kunasisitiza umuhimu wa amri hiyo.

Beli imeaibishwa, Merodaki imefadhaishwa. ,Mingu yao zimeaibishwa na sanamu zao zimefashaishwa

Sentensi hizi zinasisitiza kuwa Bwana ameiharibu miungu ya Babeli.

Beli ... Merodaki

Haya ni majina mawili ya miungu wakuu wa Babeli.