sw_tn/jer/49/34.md

390 B

Taarifa ya jumla"

Bwana anazungumza juu ya mambo yatakayotokea kwa Elamu.

watu wa upinde

Ni watu ambao wana ujuzi wa upinde na mishale.

pepo nne toka kwenye kona nne

"pepo 4 toka kwenye kona 4"

kona nne za

"Pando zote, kila mahali".

Hakuna taifa ambalo wale waliotawanyika toka Elamu hawatakwenda.

"Wakimbizi toka Elamu watalazimika kutafuta makazi kila sehemu duniani."