# Taarifa ya jumla" Bwana anazungumza juu ya mambo yatakayotokea kwa Elamu. # watu wa upinde Ni watu ambao wana ujuzi wa upinde na mishale. # pepo nne toka kwenye kona nne "pepo 4 toka kwenye kona 4" # kona nne za "Pando zote, kila mahali". # Hakuna taifa ambalo wale waliotawanyika toka Elamu hawatakwenda. "Wakimbizi toka Elamu watalazimika kutafuta makazi kila sehemu duniani."