sw_tn/jer/49/34.md

20 lines
390 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla"
Bwana anazungumza juu ya mambo yatakayotokea kwa Elamu.
# watu wa upinde
Ni watu ambao wana ujuzi wa upinde na mishale.
# pepo nne toka kwenye kona nne
"pepo 4 toka kwenye kona 4"
# kona nne za
"Pando zote, kila mahali".
# Hakuna taifa ambalo wale waliotawanyika toka Elamu hawatakwenda.
"Wakimbizi toka Elamu watalazimika kutafuta makazi kila sehemu duniani."