sw_tn/jer/49/32.md

12 lines
313 B
Markdown

# kutawanyika kwenye kila upepo
"kwenda katika uelekeo tofauti"
# Nitawatawanya kwenye kila upepo wale wote wanyoao denge
"Kisha nitawatawanya katika uelekeo tofauti wale wasiotoo amri zangu"
# Hakuna atakayeishi huko, hakuna binadamu atakayekaa huko
Maneno haya yanasisitiza kuwa Hazoro itaharibiwa kabisa.