# kutawanyika kwenye kila upepo "kwenda katika uelekeo tofauti" # Nitawatawanya kwenye kila upepo wale wote wanyoao denge "Kisha nitawatawanya katika uelekeo tofauti wale wasiotoo amri zangu" # Hakuna atakayeishi huko, hakuna binadamu atakayekaa huko Maneno haya yanasisitiza kuwa Hazoro itaharibiwa kabisa.