sw_tn/jer/49/32.md

313 B

kutawanyika kwenye kila upepo

"kwenda katika uelekeo tofauti"

Nitawatawanya kwenye kila upepo wale wote wanyoao denge

"Kisha nitawatawanya katika uelekeo tofauti wale wasiotoo amri zangu"

Hakuna atakayeishi huko, hakuna binadamu atakayekaa huko

Maneno haya yanasisitiza kuwa Hazoro itaharibiwa kabisa.