sw_tn/jer/49/30.md

298 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuzungumza juu ya mambo yatakatotokea kwa Kedari.

Kaa katika mashimo ya ardhini

"jifiche"

Wenyeji wa Hazori

"Watu wanaoishi Hazori"

Analosema Bwana

"Alilosema Bwana"

Kupanga mpango

"kuweka mpango"

Wao ... wao

Hawa ni watu walioona usalama.