sw_tn/jer/49/30.md

24 lines
298 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuzungumza juu ya mambo yatakatotokea kwa Kedari.
# Kaa katika mashimo ya ardhini
"jifiche"
# Wenyeji wa Hazori
"Watu wanaoishi Hazori"
# Analosema Bwana
"Alilosema Bwana"
# Kupanga mpango
"kuweka mpango"
# Wao ... wao
Hawa ni watu walioona usalama.