# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuzungumza juu ya mambo yatakatotokea kwa Kedari. # Kaa katika mashimo ya ardhini "jifiche" # Wenyeji wa Hazori "Watu wanaoishi Hazori" # Analosema Bwana "Alilosema Bwana" # Kupanga mpango "kuweka mpango" # Wao ... wao Hawa ni watu walioona usalama.