sw_tn/jer/49/26.md

16 lines
205 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anatuambia mambo yatakayotokea kwa watu wa Dameski.
# yake
"yake" inamaanisha Dameski.
# Analosema Bwana wa majeshi.
"Alilosema Bwana"
# Ben Hadadi
Hili ni jina la mfalme.