# Taarifa ya jumla: Bwana anatuambia mambo yatakayotokea kwa watu wa Dameski. # yake "yake" inamaanisha Dameski. # Analosema Bwana wa majeshi. "Alilosema Bwana" # Ben Hadadi Hili ni jina la mfalme.