sw_tn/jer/49/26.md

205 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anatuambia mambo yatakayotokea kwa watu wa Dameski.

yake

"yake" inamaanisha Dameski.

Analosema Bwana wa majeshi.

"Alilosema Bwana"

Ben Hadadi

Hili ni jina la mfalme.