sw_tn/jer/49/23.md

508 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anatuambia mambo yatakayotokea kwa watu wa Dameski.

Arpadi

Huu ni mji huko Sirya.

Waliyeyuka

"Walikuwa na hofu"

Wakawa wasumbufu kama bahari

Hisia zao zilifananishwa na bahari yenye mawimbi"

kama maumivu ya mwanamke anayejifungua

Namna mji unavyoteseka inafananishwa na mwanamke mwenye maumivu wakati wa kujifungua.

Kwa nini mji maarufu, mji ambao niliufurahia bado haujaondolewa?

"Haiwezekana mji maarufu, mji ambao ulikua na furaha bado una watu ndani yake."