sw_tn/jer/49/23.md

24 lines
508 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anatuambia mambo yatakayotokea kwa watu wa Dameski.
# Arpadi
Huu ni mji huko Sirya.
# Waliyeyuka
"Walikuwa na hofu"
# Wakawa wasumbufu kama bahari
Hisia zao zilifananishwa na bahari yenye mawimbi"
# kama maumivu ya mwanamke anayejifungua
Namna mji unavyoteseka inafananishwa na mwanamke mwenye maumivu wakati wa kujifungua.
# Kwa nini mji maarufu, mji ambao niliufurahia bado haujaondolewa?
"Haiwezekana mji maarufu, mji ambao ulikua na furaha bado una watu ndani yake."