# Taarifa ya jumla: Bwana anatuambia mambo yatakayotokea kwa watu wa Dameski. # Arpadi Huu ni mji huko Sirya. # Waliyeyuka "Walikuwa na hofu" # Wakawa wasumbufu kama bahari Hisia zao zilifananishwa na bahari yenye mawimbi" # kama maumivu ya mwanamke anayejifungua Namna mji unavyoteseka inafananishwa na mwanamke mwenye maumivu wakati wa kujifungua. # Kwa nini mji maarufu, mji ambao niliufurahia bado haujaondolewa? "Haiwezekana mji maarufu, mji ambao ulikua na furaha bado una watu ndani yake."