sw_tn/jer/49/21.md

394 B

Yao

Watu wa Edomu.

Kwenye sauti ya kuanguka kwaonchi ilitetemeka. Sauti ya dhiki ilisikika bahari ya Shamu

Hii inaonesha kuwa uharibifu wa Edomu utakuwa mbaya sana.

Tazama

"Kuwa makini"

kuvamia kama tai, kushambulia chini na kutandaza mbawa zake

Uvamizi utakuwa mbaya na usiotarajiwa.

Bozra

Huu ni mji.

Kuwa kama moyo wa mwanamke mwenye uchungu

"hisi kuharibiwa na hofu"