sw_tn/jer/49/21.md

24 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yao
Watu wa Edomu.
# Kwenye sauti ya kuanguka kwaonchi ilitetemeka. Sauti ya dhiki ilisikika bahari ya Shamu
Hii inaonesha kuwa uharibifu wa Edomu utakuwa mbaya sana.
# Tazama
"Kuwa makini"
# kuvamia kama tai, kushambulia chini na kutandaza mbawa zake
Uvamizi utakuwa mbaya na usiotarajiwa.
# Bozra
Huu ni mji.
# Kuwa kama moyo wa mwanamke mwenye uchungu
"hisi kuharibiwa na hofu"