# Yao Watu wa Edomu. # Kwenye sauti ya kuanguka kwaonchi ilitetemeka. Sauti ya dhiki ilisikika bahari ya Shamu Hii inaonesha kuwa uharibifu wa Edomu utakuwa mbaya sana. # Tazama "Kuwa makini" # kuvamia kama tai, kushambulia chini na kutandaza mbawa zake Uvamizi utakuwa mbaya na usiotarajiwa. # Bozra Huu ni mji. # Kuwa kama moyo wa mwanamke mwenye uchungu "hisi kuharibiwa na hofu"