sw_tn/jer/49/20.md

301 B

Wenyeji wa Temana

Watu waishio Temana.

Watasukumwa nje hata kundi dogo

"Atawasukuma nje, hata kundi dogo"

Ardhi yenye malisho itakuwa sehemu iliyoharibiwa

"Atageuza sehemu zao wa malisho kuwa sehemu zilizoharibiwa"

Ardhi ya malisho

Hii ni sehemu yenye nyasi ambapo wanyama hula majani.