sw_tn/jer/49/20.md

16 lines
301 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wenyeji wa Temana
Watu waishio Temana.
# Watasukumwa nje hata kundi dogo
"Atawasukuma nje, hata kundi dogo"
# Ardhi yenye malisho itakuwa sehemu iliyoharibiwa
"Atageuza sehemu zao wa malisho kuwa sehemu zilizoharibiwa"
# Ardhi ya malisho
Hii ni sehemu yenye nyasi ambapo wanyama hula majani.