# Wenyeji wa Temana Watu waishio Temana. # Watasukumwa nje hata kundi dogo "Atawasukuma nje, hata kundi dogo" # Ardhi yenye malisho itakuwa sehemu iliyoharibiwa "Atageuza sehemu zao wa malisho kuwa sehemu zilizoharibiwa" # Ardhi ya malisho Hii ni sehemu yenye nyasi ambapo wanyama hula majani.