sw_tn/jer/49/19.md

24 lines
483 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.
# Tazama
"Kuwa makini"
# Kama simba
Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa uvamizu utakuwa wa mkali na usiotarajiwa.
# Je nani aliye kama mimi, na nani ataniita?
Bwana anatumia swali kuonesha udogo wa mwanadamu. "Hakuna aliye kama mimi, hakuna wa kuniamrisha."
# kuita
"kumuamrisha mtu aje"
# Ni mchungaji gani atakayeweza kuniamrisha mimi?
Bwana anatumia swali kuonesha kuwa hakuna wa kumshinda.