sw_tn/jer/49/19.md

483 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.

Tazama

"Kuwa makini"

Kama simba

Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa uvamizu utakuwa wa mkali na usiotarajiwa.

Je nani aliye kama mimi, na nani ataniita?

Bwana anatumia swali kuonesha udogo wa mwanadamu. "Hakuna aliye kama mimi, hakuna wa kuniamrisha."

kuita

"kumuamrisha mtu aje"

Ni mchungaji gani atakayeweza kuniamrisha mimi?

Bwana anatumia swali kuonesha kuwa hakuna wa kumshinda.