# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu. # Tazama "Kuwa makini" # Kama simba Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa uvamizu utakuwa wa mkali na usiotarajiwa. # Je nani aliye kama mimi, na nani ataniita? Bwana anatumia swali kuonesha udogo wa mwanadamu. "Hakuna aliye kama mimi, hakuna wa kuniamrisha." # kuita "kumuamrisha mtu aje" # Ni mchungaji gani atakayeweza kuniamrisha mimi? Bwana anatumia swali kuonesha kuwa hakuna wa kumshinda.