sw_tn/jer/49/17.md

16 lines
402 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.
# Tetemeka
"Kutetemeka kutokana na kuogopa na kuzungumza mambo yao yasiyopendeza"
# Kama kupinduliwa kwa Sodoma na Gomora
"Kwa njia ambayo Sodoma na Gomora waliharibiwa"
# Hakuna atakayeishi huko; hakuna atakayekaa pale
Bwana anazungumza jambo lilelile mara mbili kusisitiza kuwa Edomu Edomu haitakuwa na watu kabisa.