# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu. # Tetemeka "Kutetemeka kutokana na kuogopa na kuzungumza mambo yao yasiyopendeza" # Kama kupinduliwa kwa Sodoma na Gomora "Kwa njia ambayo Sodoma na Gomora waliharibiwa" # Hakuna atakayeishi huko; hakuna atakayekaa pale Bwana anazungumza jambo lilelile mara mbili kusisitiza kuwa Edomu Edomu haitakuwa na watu kabisa.