sw_tn/jer/49/17.md

402 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.

Tetemeka

"Kutetemeka kutokana na kuogopa na kuzungumza mambo yao yasiyopendeza"

Kama kupinduliwa kwa Sodoma na Gomora

"Kwa njia ambayo Sodoma na Gomora waliharibiwa"

Hakuna atakayeishi huko; hakuna atakayekaa pale

Bwana anazungumza jambo lilelile mara mbili kusisitiza kuwa Edomu Edomu haitakuwa na watu kabisa.