sw_tn/jer/49/12.md

341 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.

Tazama

"Kuwa makini"

Kunywa kikombe

"pata adhabu"

Je unafikiri kuwa utakwenda bila kuadhibiwa?

"Unapaswa kufahamu kuwa utapata adhabu yangu kwa sababu ya dhambi zako."

wewe ... mwenyewe

Hawa ni watu wa Edomu.

Analosema Bwana

"Alilosema Bwana"