# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu. # Tazama "Kuwa makini" # Kunywa kikombe "pata adhabu" # Je unafikiri kuwa utakwenda bila kuadhibiwa? "Unapaswa kufahamu kuwa utapata adhabu yangu kwa sababu ya dhambi zako." # wewe ... mwenyewe Hawa ni watu wa Edomu. # Analosema Bwana "Alilosema Bwana"