sw_tn/jer/49/12.md

24 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anaendelea kuzungumza kuhusu kitakachotokea Edomu.
# Tazama
"Kuwa makini"
# Kunywa kikombe
"pata adhabu"
# Je unafikiri kuwa utakwenda bila kuadhibiwa?
"Unapaswa kufahamu kuwa utapata adhabu yangu kwa sababu ya dhambi zako."
# wewe ... mwenyewe
Hawa ni watu wa Edomu.
# Analosema Bwana
"Alilosema Bwana"