sw_tn/jer/48/40.md

16 lines
476 B
Markdown

# Adui atapaa kama tai na kutandaza mabawa yake
Hii inalifananisha jeshi lenye nguvu litaivamia Moabu na kuiteka kama vile tai anaposhuka chini na kukamata mawindo.
# Keriothi.
Ni mji katika Moabu.
# Keriothi imekamatwa na ngome zake zimetekwa
"Adui wameikamata Keriothi na kuteka ngome zake"
# siku ile moyo wa askari wa Moabu ... wanawake wenye uchungu
Sentensi hii inaonesha kuwa hofu itawapata askari wa Moabu kama hofu ambayo wanawake huipata wanapokaribia kuzaa.