sw_tn/jer/48/40.md

476 B

Adui atapaa kama tai na kutandaza mabawa yake

Hii inalifananisha jeshi lenye nguvu litaivamia Moabu na kuiteka kama vile tai anaposhuka chini na kukamata mawindo.

Keriothi.

Ni mji katika Moabu.

Keriothi imekamatwa na ngome zake zimetekwa

"Adui wameikamata Keriothi na kuteka ngome zake"

siku ile moyo wa askari wa Moabu ... wanawake wenye uchungu

Sentensi hii inaonesha kuwa hofu itawapata askari wa Moabu kama hofu ambayo wanawake huipata wanapokaribia kuzaa.