sw_tn/jer/48/38.md

28 lines
379 B
Markdown

# Kila paa la gorofa
"kila paa"
# uwanda
Ni sehemu ya wazi, kama vile sokoni.
# kwa kuwa nimeiharibu
Bwana anazungumziwa mahali hapa.
# Analosema Bwa
"Alilosema Bwana"
# kuvunjwa
"kuharibiwa"
# piga kelele
Sauti ya kilio ambayo huifanya mtu anapokuwa na maumivu.
# Hivyo Moabu itakuwa kitu cha kudharauliwa
"Moabu itakuwa taifa ambalo mataifa ya jirani yatalicheka"