# Kila paa la gorofa "kila paa" # uwanda Ni sehemu ya wazi, kama vile sokoni. # kwa kuwa nimeiharibu Bwana anazungumziwa mahali hapa. # Analosema Bwa "Alilosema Bwana" # kuvunjwa "kuharibiwa" # piga kelele Sauti ya kilio ambayo huifanya mtu anapokuwa na maumivu. # Hivyo Moabu itakuwa kitu cha kudharauliwa "Moabu itakuwa taifa ambalo mataifa ya jirani yatalicheka"