sw_tn/jer/48/38.md

379 B

Kila paa la gorofa

"kila paa"

uwanda

Ni sehemu ya wazi, kama vile sokoni.

kwa kuwa nimeiharibu

Bwana anazungumziwa mahali hapa.

Analosema Bwa

"Alilosema Bwana"

kuvunjwa

"kuharibiwa"

piga kelele

Sauti ya kilio ambayo huifanya mtu anapokuwa na maumivu.

Hivyo Moabu itakuwa kitu cha kudharauliwa

"Moabu itakuwa taifa ambalo mataifa ya jirani yatalicheka"