sw_tn/jer/48/30.md

443 B

Anachokisema Bwana

"alichokisema Bwana"

ukaidi

Ni kitendo cha kukataa kumtii mtu au maelekezo kwa sababu ya kiburi

Nitamlilia Moabu, na nitapiga kelele za huzuni kwa ajili ya Moabu wote

Yeremia anasema kitu kile kile kwa ajili ya kusisitiza.

Piga kelele

Kilio na huzuni ambacho mtu hufanya anapokuwa na uchungu.

Kir-heresi

Hili ni jina la mji wa zamani wa Moabu.

Jazeri ... Sibma

Haya ni majina ya miji miwili ya Moabu.